Afya, AI, Microsoft
Maisha baada ya Kifo – Microsoft wanataka uendelee kuwa hai, uwe Bot la Mtandaoni
Je unataka maisha yako baada ya kifo yaweje? Microsoft wamechukua hatua ambazo zinaonesha wanataka watu wakifa waendelee kuwa hai kupitia mifumo ya akili bandia...