


5G Afrika Kusini: Huawei yapeleka teknolojia ya 5G Afrika Kusini
5G yaanza kupatikana katika nchi ya kwanza Afrika. Baada ya ‘figisu figisu’ za mataifa ya…

Roboti Mbwa aanza kupatikana, ukimuhitaji andaa bei ya gari jipya
Kampuni ya Boston Dyanamics imeanza kuuza roboti mbwa anayeenda kwa jina la Spot kwa mtu…

Leseni za WhatsApp Kenya: Wamiliki makundi ya WhatsApp watakiwa kuwa na Leseni
Katika kudhibiti majukwaa ya mitandao ya kijamii, watawala nchini kenya wamependekeza muswada ambao utawalazimisha watu…

Huawei Mate 30 & 30 Pro: Hazina apps za Google, ila bado zinatumia Android
Kampuni ya Huawei yatambulisha rasmi toleo lao la simu janja za hadhi ya juu za…

Je kwa nini diski zinaanza na namba C badala ya A? #Windows
Je ushawahi kujiuliza kwa nini diski zinaanza na namba C badala ya A kwenye kompyuta…

Kampuni ya mikopo mtandao ya TALA yafunga shughuli zake Tanzania
Kampuni ya TALA inayokopesha kwa njia ya mtandao wa simu za mkononi, imetangaza kufunga shughuli…

TCRA yatangaza kuja kwa Kisimbusi kimoja kwa Chaneli zote nchini
Mamlaka ya Mawasiliano nchini TCRA wametangaza kuja na kisimbusi kimoja kitakachoonyesha chaneli nyingi zaidi badala…

Tenta Browser: Kivinjari salama kwa wasiotaka kufuatiliwa mtandaoni kwenye simu
Suala la usalama wa data za kimtandao limekuwa ni suala kubwa na nyeti sana kwa…

Google wapigwa faini Ufaransa: Kulipa zaidi ya dola bilioni 1 za Kimarekani
Wakati Marekani na Ufaransa wakifanya mazungumzo juu ya suala la kodi kwa makampuni ya biashara…

Facebook na Ngono: Facebook wanafahamu ‘watumiaji’ wake wanapofanya ngono
Je unaweza unaweza kufikiri ni vigumu Facebook kufahamu pale watumiaji wake wanapofanya ngono? Imefahamika si…

Mambo yote yaliyotangazwa na Apple Septemba 2019! #iPhone11 #AppleTV
Kwa Apple tarehe 10 Septemba 2019 ilikuwa ni siku ya kutambulisha simu zao mpya -…

Data za akaunti milioni 210 za Watumiaji wa Facebook zavuja
Data za akaunti milioni 210 za watumiaji wa mtandao wa Facebook zavuja baada ya kudukiliwa…

Microsoft: Serikali inachoifanyia Huawei si sawa
Serikali inachoifanyia Huawei si sawa, hayo ni maneno ya mmoja wa kiongozi wa juu kabisa…

Fairphone: Simu janja inayoruhusu ubadilishaji wa vipuli kwa urahisi
Simu ya Fairphone ni simu janja ambayo ukishainunua haikupi ugumu tena kubadili kitu kama kamera,…

Bunge kuendesha shughuli zake kimtandao
Bunge la Tanzania kupitia spika wake Job Ndugai limetangaza kuendesha shughuli zake za vikao kwa…

Mabadiliko yanafanyika Netflix, sasa ‘episodes’ kuachiwa wiki kwa wiki
Mabadiliko yanafanyika kwenye huduma namba moja ya kuangalia filamu na tamthilia mtandaoni, Netflix. Kuanzia Oktoba…

Faini ya milioni 5, jela miezi 12 kutokana na kutumia laini ambayo haijasajiliwa
Mapendekezo ya sheria dhidi ya utumiaji usio sahihi wa laini za simu ambazo hazijasajiliwa yamefikishwa…

Korea Kaskazini wakana kuiba zaidi ya trilioni 4.6 kwa njia ya mtandao. #Udukuzi
Korea Kaskazini wakana kuiba kwa kutumia udukuzi. Serikali ya Korea Kaskazini imekana shutuma ya kuhusika…

Huawei Mate 30 Pro kutokuja na apps za Google
Simu janja ya hadhi ya juu ya Huawei Mate 30 Pro inayotegemewa kuja hivi karibuni…