Ndege kubwa kuliko zote duniani imeharibiwa nchini Ukraine
Ndege kubwa kuliko zote duniani, Antonov AN-225, imeharibiwa wakati wa uvamizi wa Urusi nchini Ukraine, kulingana na maafisa wa Ki- Ukraine, na kusababisha wasiwasi na huzuni katika ulimwengu wa anga. Ndege hiyo kubwa iliyopewa jina la “Mriya,” au “ndoto” kwa Kiukreni, iliegeshwa katika uwanja wa ndege karibu na Kyiv wakati iliposhambuliwa na “wakazi wa Urusi,”…