Maendeleo ya kiteknolojia yaliyofanyika katika vyombo vya usafiri tangu kuanzishwa kwake
Vyombo vya usafiri tunavyotumia leo hii ni matokeo ya maendeleo ya kiteknolojia yaliyotokea katika kipindi cha miaka mingi ya matumizi, ubunifu wa vifaa vipya na uhitaji wa watumiaji. Katika makala hii tutaelezea kila chombo cha usafiri tangu kuanza kwake mpaka sasa kilipofikia.