Gari, Magari, Teknolojia
Gari la Steve Jobs halikuwaga linawekwa namba za usajili / ‘plate number’. #Fahamu
Je aliwezaje? Fahamu gari la Steve Jobs halikuwahi kuwekwa namba za usajili/yaani plate number. Steve Jobs alikuwa anapendelea kutumia gari aina ya Mercedes ikiwa...
Apple, Gari, Magari, Teknolojia, Tesla
Elon Musk: “Tulijaribu kuwauzia Apple kampuni nzima ya Tesla ila Tim Cook akazingua”
Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya magari yanayotumia mfumo wa umeme ya Tesla, amesema walishajaribu kuwauzia Apple kampuni ya Tesla ila Tim Cook alizingua. Inasemekana...
Magari, Teknolojia, Uganda, Usafiri
Uganda: Mabasi ya umeme Jua kuanza kutengenzwa kwa wingi
Ukitaka kukabiliana na suala zima la uchafuzi wa mazingira basi ni lazima ufikirie kutumia nishati mbadala. Uganda wanaaziwa kuanza kutumia magari yanayotumia umeme wa...
Kompyuta, Magari, Teknolojia
Nusu ya ajira zote kuchukuliwa na kompyuta ndani ya miaka 15
Je unaweza kuamini ya kwamba nusu ya ajira zote kuchukuliwa na kompyuta ndani ya miaka 15 ijayo? Haya ni maneno ya muwekezaji mmoja wa...
Magari, Teknolojia, Uchina
Serikali ya Uchina na magari yanayotumia umeme
Uchina kama taifa kubwa linaongoza kwa kuwa na magari yanayotumia nishati ya umeme kama mbadala wa kukabiliana na uchafuzi wa mazingira na makampuni yanayotengeneza...
Magari, Tanzania, Teknolojia
Teknolojia ya magari ya umeme yaingia Serengeti
Teknolojia ya magari ya umeme kwa ajili kutoa huduma za utalii imetambulishwa rasmi kwenye Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.
Google, Magari, Teknolojia
Huduma za Google kwenye Renault, Nissan na Mitsubishi
Wakati unapoendesha gari unaweza ukahitaji usaidizi na kwa jinsi teknolojia ilivyoendelea vitu ambavyo unaweza ukavitumia kwenye Android/iOS kwa asilmia kubwa kwengye gari unaweza ukavipata,...
Magari, Usafiri
Rais Kagame azindua gari la kwanza lililounganishwa Rwanda
Rais Paul Kagame wa Rwanda amezindua gari la kwanza aina ya Volkswagen lililounganishwa kwenye kiwanda cha Volkswagen kilichopo Kigali-Rwanda.
Facebook, Magari, Mtandao wa Kijamii, Roketi, SpaceX, SpaceX, Tesla
Elon Musk afuta kurasa za SpaceX na Tesla kwenye Facebook baada ya kujaribiwa
Mambo si mazuri kabisa kwa upande wa Facebook baada ya kukumbwa na kashfa inayopelekea watu kuanza kuukacha mtandao huo wa kijamii wenye watumiaji wengi...