fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania

Ndege

Ndege kubwa kuliko zote duniani imeharibiwa nchini Ukraine
AngaAntonovNdegeNdegeTeknolojiaUchambuziUsafiri

Ndege kubwa kuliko zote duniani imeharibiwa nchini Ukraine

Ndege kubwa kuliko zote duniani, Antonov AN-225, imeharibiwa wakati wa uvamizi wa Urusi nchini Ukraine, kulingana na maafisa wa Ki- Ukraine, na kusababisha wasiwasi na huzuni katika ulimwengu wa anga. Ndege hiyo kubwa iliyopewa jina la “Mriya,” au “ndoto” kwa Kiukreni, iliegeshwa katika uwanja wa ndege karibu na Kyiv wakati iliposhambuliwa na “wakazi wa Urusi,”…

Boom itajenga kiwanda cha ndege za spidi kubwa huko Carolina Kaskazini
NdegeTeknolojiaUchambuziUsafiri

Boom itajenga kiwanda cha ndege za spidi kubwa huko Carolina Kaskazini

Kampuni changa ya Boom ipo hatua chache karibu na kurudisha ndege za abiria za spidi kubwa. Siku ya Jumatano, kampuni hiyo ilitangaza mipango ya kujenga kituo cha utengenezaji katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Piedmont Triad huko North Carolina. Kiwanda cha ndege kitakapokamilika, “The Overture Superfactory” kitaajiri takriban wafanyakazi 1,750 ifikapo mwaka 2030 na…

  • 1
  • 2
TeknoKona Teknolojia Tanzania