Video, Sauti na Picha za Sayari ya Masi / Mirihi katika ubora mkubwa. #NasaPerseverance
Video, sauti na picha za sayari ya masi / mirihi zilizotumwa kupitia misheni mpya ya NASA inayokwenda kwa jina la Perseverance zimeweka rekodi mpya katika teknolojia na mafanikio ya NASA na sekta nzima ya tafiti za kisayari.