


Huawei: Hakuna mpango wa kuleta simu mpya inayotumia Harmony OS mwaka huu
Simu mpya inayotumia Harmony OS kutoka Huawei haitaingia sokoni mwaka huu. Kampuni hiyo inasema lengo…

Uwezo wa kuchati kwenye Youtube kuondolewa kabisa!
YouTube inatarajia kuondoa uwezo wa kuchati kwenye app yao. Uwezo huo wa kutumiana ujumbe binafsi…

EyeQue Check: Kifaa cha kupima macho nyumbani
EyeQue ambayo ni kampuni iliyoko Newark, California nchini Marekani imetoa kifaa maalumu kinachoweza kutumika nyumbani…

Google: Apps kwenye Google Play Store kuchelewa kupewa ruhusa
Google wamesema wamefanya uamuzi wa kuchelewa kuruhusu apps mpya kuanza kupatikana kwenye Google Play Store…

Oppo Reno 10X Zoom: Hili ndio toleo rasmi kwa mashabiki wa FC Barcelona
Kama wewe ni shabiki kindakindaki wa timu ya FC Barcelona ya nchini Uhispania, Oppo Reno…

Samsung kuja na teknolojia mpya ya mabetri ya simu yanayodumu zaidi na chaji
Samsung wapo njiani kuja na teknolojia ya mabetri ya simu yanayodumu zaidi na chaji kutokana…

Idadi ya watumiaji wa Intaneti yaongezeka Ulimwenguni
Idadi ya watumiaji wa intaneti duniani imezidi kuongezeka na huku bara la Afrika likishika nafasi…

Huawei na 6G: Tayari utafiti wa teknolojia ya 6G waanza
Huawei na 6G. Wakati ata bado 5G haijaanza kusambaa sana tayari kampuni ya Huawei imeanza…

WhatsApp Fingerprint Lock: Uwezo kufungua kwa kutumia alama za vidole
WhatsApp Fingerprint Lock ni kitu kipya ndani ya app ya whatsapp. Kwa sasa watumiaji wa…

WSJ: Wafanyakazi wa Huawei wanahusika na udukuzi wa wanasiasa Afrika. #Skendo
Gazeti mashuhuri la nchini Marekani, Wall Street Journal katika uchunguzi wao wamebaini wafanyakazi wa Huawei…

Toleo la Google Play Store linasababisha simu kuisha chaji haraka
Imefahamika toleo la Google Play Store 18.3.82 linasababisha kuisha kwa chaji kwenye simu za Android…

Samsung waja na teknolojia ya kamera ya simu ya MP 108
MP 108, yaani Megapixel 108… zote hizi ziwe kwenye simu janja yako mkononi. Kampuni nguli…

Yandex.com – tovuti mbadala ya utafutaji kwa Google.com
Je ushawahi kuisikia tovuti ya Yandex.com? Hii ni tovuti ya utafutaji mtandaoni kama vile Google,…

Apple kuzibania apps za Facebook na WhatsApp kwenye iPhone
Apple kuzibania apps za Facebook, WhatsApp na apps nyingine mbalimbali kwenye iPhone katika uamuzi unaoonesha…

Notisave: Njia ya kudownload Status za WhatsApp kwa urahisi! #Android #Maujanja
Notisave ni app ambayo ina uwezo wa kufanya mambo mengi, lakini moja ya kitu muhimu…

Samsung Galaxy S7 na S7 edge zaendelea kuangaliwa
Simu janja tunazonunua tufahamu ya kuwa huwa zinaangaliwa ili kuzikinga na mambo mabaya amabayo yanaweza…

Zawadi ya Dola Milioni 1 kudukua iPhone bado haitazuia udukuzi
Kampuni ya Apple imeweka zawadi ya dola milioni 1 kwa mtu atakayeweza kudukua iPhone na…

Uwezo wa kujisajili na ofa za chuo
Gharama za mawasiliano ni nafuu lakini zinakuwa ni rahisi zaidi iwapo unakuwa unatumia kadi ya…

Toleo lijalo la iPhone lafahamika ni lini litaingia sokoni
Apple wamezoeleka kutoa toleo jipya la iPhone kila mwaka lakini mara nyingi tarehe ya shughuli…