Masuala yanayohusu virusi vya Corona kwenye YouTube
Hadi leo hii Dunia bado inahangaishwa na janga la virusi vya Corona ambalo bado limeendelea kughasrimu maisha ya watu siku hadi siku. Kutokana na utandawazi taarifa kuhusu ugonjwa wa homa kali ya mapafu unapatikana kupitia vyanzo mbalimbali ikiwemo YouTube.