Miaka 10-15 nyuma kabla ya ujio wa WhatsApp, Telegram, Skype ilikuwa maarufu sana kutokana na kuwezesha mawasiliano kwa njia ya picha jongegu na hata...
Tayari habari ya ujio wa kivinjari cha Microsoft Edge kinachotengenezwa kwa kodi ya msingi ya Chromium ilitangazwa na Microsoft. Toleo la beta la kivinjari...
Kikokotozi cha Windows kinakuja kitofauti. Mapema mwezi huu kampuni ya Microsoft yaweka code (kanuni) za programu yake ya kikokotoa ambazo kwa sasa zitawezesha na...
Uwepo wa njia mbalimbali za kuweza kutafuta kitu mtandaoni unampa mtu uwanja mpana wa kuchagua njia ya kutumia kutafuta kile anachokikusudia mtandaoni.
Je tokea uupdate kwenda toleo jipya la Februari Windows 10 kwenye kompyuta yako imekuwa inasumbua sumbua? Fahamu sasisho hilo la Windows 10 lina matatizo.
Teknolojia ya simu ambazo zinakunjika inaonekana kushika kasi kwa maana ya kwamba kurudi tena machoni pa watu lakini ikiwa katika mtndo ulio bora zaidi...
Serikali ya Kenya inatathmini kudhibiti matumizi ya WhatsApp na Skype katika hatua ambayo inaweza kulazimisha wamiliki wa huduma hizo kutoa habari kwa serikali.
Miaka ishirini iliyopita Window 98 ilizinduliwa rasmi ulimwenguni. Wakati huo Microsoft ilikuwa kampuni tofauti na Bw. Bill Gates alikuwa Mkurugenzi Mtendaji.
Mabadiliko ya teknolojia yanaweza kufanya watu/makampuni kushirikiana na mwisho wa siku wakatengeneza/kuunda kitu ambacho kitawanufaisha wengi na mwisho pande zilizoshirikiana kunufaika.
Mwalimu mmoja wa somo la ICT (Information and Communication Technology) nchini Ghana ametambuliwa katika ulimwengu kwa madhira anayopata katika ufundishaji wa somo hilo la...
Ingawa Microsoft walianza na lengo kubwa la kufikisha vifaa bilioni 1 vinatumia toleo la Windows 10 kufikia mwaka 2018, baada ya kulisoma soko vizuri...