fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania
Microsoft Windows 11 Windows 11 Pro

Microsoft Store App Awards 2022, Piga Kura Kwa App Zako Pendwa!

Microsoft Store App Awards 2022, Piga Kura Kwa App Zako Pendwa!

Spread the love

Lengo kubwa ni kuiweza kuitambua/kuipata App bora kabisa kwa mwaka 2022 kwenye Windows kupitia Microsoft Store.

Wametenga App zote katika makundi matatu ambayo wameyapanga kama ifuatavyo

File Management

Utility

Open Platform

Microsoft

Microsoft

Nia na madhumu wanasema ni katika kuhakikisha kuwa wanatambua App mbalimbali ambazo ni nzuri, za kushangaza na zenye matumizi mazuri ya kusaidia….

SOMA PIA  Unatumia Windows 7? Muda wa kwenda Windows 10 umefika.

…Apps ambazo zinafanya siku yako kuwa na nzuri na yenye thamani, Upigaji kura huu ni kwa ajili ya wananchi katika kuhakikisha kuwa App zinazopendwa zinapata tuzo.

Upigaji kura unapatikana duniani kote kupitia Microsoft Store ndani ya Windows na hapa ili kuwa sahihi zaidi ni watumiaji wa Windows 10 na 11 tuu.

SOMA PIA  Microsoft Waleta Nokia 215 kwa Buku 50 tuu!

Lakini watumiaji wa huduma hizi hawatakua na ulazima wa kupiga kura hizo, na wana uwezo wa kuachana nao muda wowote wanaotaka.

microsoft edge chromium

Programu Endeshi Ya Windows

Wapigaji kura wanaweza wakapiga kura kwenye baadhi ya vipengele au vipengele vyote vitatu. Kumbuka pia hapa itapokelewa kura moja tuu kwa mtu.

SOMA PIA  Microsoft Kufikisha Thamani Ya Dola Trilioni 2!

Ningependa Kusikia Kutoka Kwako, Je Wewe Ni Mmoja Wapo Kati Ya Wale Wanaopiga Kura, Niandikie Hapo chini Katika Eneo La Comment.

Kumbuka Kutembelea Mtandao Wako Wa TeknoKona Kila Siku, Kwani Daima Tupo Nawe Katika Teknolojia!.

Nifuate Kwenye Mitandao Yangu Ya Kijamii

Instagram | Facebook | Twitter | LinkedIn

Hashiman (@hashdough) Nuh

Mhariri Wa TeknoKona Na Mmoja Kati Ya Wafuasi Wa Teknolojia! Naomba Tuikuze TeknoKona Wote Basi.
Ningependa Kusikia Kutoka Kwako Nitumie Barua Pepe hash@teknokona.com

Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

TeknoKona Teknolojia Tanzania