Microsoft walazimika kumlipa mwanamke mmoja faini ya $10,000 (zaidi ya Tsh milioni 20) baada ya kompyuta yake ku-upgrade kwenda Windows 10 bila mapenzi yake – na...
Microsoft ni moja ya makampuni makubwa ya teknolojia duniani, Microsoft 4Afrika Initiative ni mpango wao wa maendeleo unaochochea ukuaji na utumiaji wa teknolojia, ubunifu...
Mtandao wa LinkedIn ambao ndiyo mtandao wenye mafanikio makubwa katika kitengo cha taaluma umeingia katika vichwa vya habari vya mitandao mbalimbali baada ya kufikia...
Toleo la Windows 10 limezidi kufanya vizuri, na sasa linatumika kwenye zaidi ya kompyuta milioni 300 kuanza kupatikana rasmi mwaka jana. Bado unaweza pata...
Kwa miezi kadhaa sasa watumiaji wa intaneti wamekuwa wakiongelea toleo jipya la PS4 ambayo inasemekana itakuwa ndogo zaidi kuliko toleo la hivi sasa iliyopewa...
Microsoft na Facebook waunganisha nguvu katika utengenezaji wa mkongo wa kusafirisha data za huduma ya intaneti unaounganisha bara la Amerika na Ulaya. Tayari kuna...
Ujio wa simu janja umeweza kubadilisha uharaka na unafuu kwa wengi wetu kwa kuzingatia kuwa hapo awali tulikuwa tukitumia muda mrefu kuandika chochote kwa...
Mwezi wa kwanza toleo la Windows 10 lilikuwa linatumika katika vifaa milioni 200 na sasa Microsoft wametoa data mpya zikionesha Windows 10 inatumika katika...
Kampuni mbili mashuhuri na zenye ushindi mkubwa, Google na Microsoft, zafanya makubaliano ya kuacha kushtakiani kwenye vyombo mbalimbali vya kisheria na kumaliza tofauti zao...
Microsoft inaleta toleo jipya la Windows 10 ambalo litaweza kuwa ruhusu watumiaji wa simu za windows 10 na Android kuweza kuona notification za simu...