Snapchat Ya Kulipia (Snapchat Plus) Hii Hapa!
Kama umegundua sasa hivi mitandao mingi ya kijamii imebadilisha kabisa mfumo wao wa kufanya biashara, Snapchat nayo haijabaki nyuma.
Kama umegundua sasa hivi mitandao mingi ya kijamii imebadilisha kabisa mfumo wao wa kufanya biashara, Snapchat nayo haijabaki nyuma.
Vyanzo mbalimbali vimedai kuwa kampuni ya Snapchat imezalisha Drone zake za Pixy kwa uchache sana maana hata wateja wake wa mwanzo kabisa wameembiwa wasubiri ili kuweza kupata kifaa hiko
Kwa Snapchat sio kitu cha kushangaza sana kuja na teknolojia kama hizi si unakuambuka ile miwani inayojulikana kama Spectacles?
Snapchat ni moja ya mitandao ya kijamii ambao wengi waitumia Snapchat asilimia kubwa ni Wamarekani kundi la vijana na kama ilivyo kwa mitandao ya kijamii mingine uraibu wa matumizi upo njenje.
Snap Wanasema kwamba mtandao wao maarufu wa kijamii unaohusika na maswala ya picha na video wa Snapchat unakuwa kwa kasi sana ukilinganisha na kipindi cha nyuma.
Snapchat ni mtandao wa kijamii ambao ulikuja kwa kasi sana, ukiachana na ujuo wake huo bado ilianza kushuka kwa haraka ikawa kinyume cha watu walivyodhania. Kabla ya isntagram, WhatsApp na Facebook hazijaja na huduma ya ‘Stories’ Snapchat ndio ilikua inashika usukani.
Ni wazi kuwa Snapchat ilikuja kwa kishindo kikubwa sana, wengi walikua na matagemeo makubwa sana kuhusiana na mtandao huu. Sio kwamba mtandao haufanyi vizuri, lakini haufanya vizuri sana kama ilivyokuwa matarajio ya wengi.
Watumiaji wa Facebook Stories wafikia milioni 500 na zaidi. Hii ni idadi inayofikia apps zingine kama vile WhatsApp na Instagram, kwenye eneo la Stories apps hizi pia zinawatumiaji zaidi ya milioni 500.
Mbali na kwamba wanafahamika kwa kuwa na programu tumishi inayolenga uchapishaji wa picha/picha mnato lakini pia Snapchat wana bidhaa nyingine (miwani janja) na zimekuwa zikifanya vyema tangu kuzinduliwa kwake.
Kampuni ya Snap Inc imekuwa haifanyi vizuri sokoni na matokeo ya taarifa ya kampuni hiyo katika kipindi cha robo ya kwanza (Q1) kwa mwaka wa fedha 2018 yalikuwa chini ya matarajio.
Utajiri unaweza kutokana na sababu mbalimbali na sasa mwanamziki wa miondoko ya RnB amejiongezea utajiri wake baada ya kulipwa karibu $1bn na Snapchat Inc. kutokana na kejeli!
Kampuni ya utafiti inayoheshimika nchini Marekani, eMarketer, imesema Facebook inapoteza vijana Marekani wakati app ya Snapchat inazidi kuvutia vijana wengi zaidi.
Snapchat ni moja ya app maarufu ya mtandao wa kijamii, na yenye umaarufu mkubwa zaidi kwa vijana duniani kote. Maelfu ya watumiaji wa app ya Snapchat hawajapendezwa sasisho jipya la app hiyo, lililokuja na mabadiliko mapya ya kimuonekano.
Inazidi kuonekana ya kwamba uamuzi wa Facebook kuinunua app ya WhatsApp mwaka 2014 kwa dola bilioni 19 haukuwa mbaya kabisa. App ya WhatsApp yafikisha watumiaji bilioni 1.5 kwa mwezi katika kipindi cha Januari 2018.
Mtandao wa kijamii Snapchat ndio maarufu na unaopendwa zaidi kwa vijana wa Marekani kuliko zamani, kulingana na utafiti mpya kutoka kampuni ya uwekezaji ya kimarekani ya investment firm Piper Jaffray na pia data za kampuni nyingine eMarketer zinaonesha hivyo hivyo.
Ikiwa simu yako ya Android haina kasi, wala nafasi ya ziada ya kuongeza programu nyingine ni wakati sasa wa kufuta baadhi programu ili kuondoa matatizo hayo.
Kama wewe ni mtumiaji mzuri wa Snapchat basi kaa mkao wa kula kwani mtandao huo nguli wa picha na video zinazopotea baada ya muda umekuja na vipengele vipya viwili.
Instagram imeendelea na tabia yake ya kuiga vitu kutoka mtandao wa Snapchat, Instagram leo inaleta maboresho katika mtandao wake ambayo pamoja na yote yataleta vitu vitatu ambavyo vyote vipo na vinafanya vizuri katika mtandao wa Snapchat.
Licha ya kuwa watu wengi wanasema kuwa mtandao huo umekua ukiiba (ukinakili) vipengele mbalimbali kutoka snapchat bado hili halijawashusha kasi yao.
Tangu mitandao ya kijamii itambulishwe imekuwa sehemu kubwa katika kuleta mabadiliko katika maisha ya kila siku. Ni wazi kuwa watu hutembelea mitandao ya kijamii mara kwa mara.