fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania

Tag: SnapChat

SnapChat Waachana Na Kipengele Cha ‘Best Friends’ Na Kuweka Kingine!
Mtandao wa KijamiiTeknolojia

SnapChat Waachana Na Kipengele Cha ‘Best Friends’ Na Kuweka Kingine!

Snapchat walikua na kipengele kinachowawezesha watu kuweza kujua nani marafiki zao wa karibu yaani “Best Friends”. Kwa sasa hicho kiioengele kimeachwa na kuanzishwa kipengele kipya ambacho kinajikita zaidi katika Emoji. Kipengele hiki kipya kina usiri zaidi kuliko kile cha mwanzo na hakita toa sura kama ile ya mwanzo kwa watumiaji wake.Kipengele hiki kilitolewa na blog…

TeknoKona Teknolojia Tanzania