Trump auaga Urais kwa vikwazo zaidi kwa Huawei, hawawezi kupata Prosesa za Intel
Marekani yaweka vikwazo zaidi kwa Huawei. Katika hatua za mwisho zilizochukuliwa na Rais Trump dhidi ya Huawei ni kuwanyima uwezo wa kununua prosesa za Intel, hii ikiwa na vikwazo vingine kadhaa.