fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania

Tag: Afya

Ergonomics na Faida zake
AfyaKompyutaTeknolojiaUbunifu

Ergonomics na Faida zake

Ergonomics ni taaluma ya kisayansi inayohusika na uelewa wa mwingiliano uliopo kati ya binadamu na mashine au mifumo. Ergonomics inahusika na usalama, faraja, urahisi wa matumizi na utendaji uliopo katika mazingira ya kazi. Wataalamu wa Ergonomics wanatumia kanuni, nadharia na data mbalimbali kuboresha mifumo ya ufanyaji kazi wa mashine ili kukuza uzalishaji na kupunguza makosa…

TeknoKona Teknolojia Tanzania