FAHAMU ‘End-to-End Encryption’ Ni Nini, Na Ina Maana Gani?
Ni kitu ambacho labda tunakiona kila siku, je maana yake dhahiri tunaifahamu? Wengi ‘End-to-end Encryption’ kwa kiasi kikubwa ipo katika mitandao mingi ya kijamii ambayo inajikita katika kutuma na kupokea jumbe za mawasiliano.