Ukiwa katika mitandao ya kijamii au hata kama unatuma meseji za kawaida kabisa katika simu yako huwa tunajikuta tunaadika au tunapokea meseji zenye vifupisho. Mara nyingine tunavijua vifupisho hivyo lakini mda mwingine tunauliza watu wengine – tena saa zingine kwa siri – ili watufumbue
Vifupisho vinatumika sana katika mitandao ya kijamii haswa Twitter. Mara nyingi kama watu wapo na haraka ndio wanaamua kutuma meseji za ufupisho (hii ndio ilikuwa maana yake) lakini usije shangaa unapokea meseji ya ufupisho kisa tuu mtu hajisikii kutumia simu yake kwa wakati huo.
Ukiachana na hayo, nna imani kila kitu kinaweza kikawa kimefupishwa katika uandishi wa meseji au katika mitandao ya kijamii lakini kama huna ujuzi wa vifupisho hivi basi unaweza ukaachwa kabisa.
Hivi ulishawahi kuona kale ka ‘Screen Shot’ kanakotembea sana katika mitandao ya kijamii? Kale ka…
Mom: What does IDK, LY and TTYL mean?
Daughter: I don’t know, love you, talk to you later.
Mom: OK, I will ask your sister.
Kumbuka hali hiyo ingeweza hata kukukuta wewe kama ungekuwa huna uwezo wa kujua vifupi hivyo
Tuvijue Baadhi Ya Vifupi Ili Tusije Kuachwa Katika Mazungumzo.
VIFUPI VYA KAWAIDA
• BFF: Best friends forever
• BRB: Be right back
• BTW: By the way
• CYA: See ya
• IDK: I don’t know
• JK: Just kidding
• KK: Okay
• LOL: Laugh out loud (sio “lots of love”)
• NP: No problem
• NVM or NM: Never mind
• OMG: Oh my gosh
• OMW: On my way
• TMI: Too much information
• TTYL: Talk to you later
• XOXO: Hugs and kisses
VIFUPI VYA KATI (Kati ya Kawaida Na Waliobobea)
• CWYL: Chat with you later
• CYT: See you tomorrow
• GR8: Great
• HMU: Hit me up
• IDC: I don’t care
• IRL: In real life
• L8R: Later
• LMK: Let me know
• LYLAS: Love you like a sister
• NSFW: Not safe for work
• OIC: Oh, I see
• POV: Point of view
• ROTFL: Rolling on the floor laughing
• THX au TX au THKS: Thanks
• TXT: Text message
• WBU: What about you?
• W/E: Whatever
• WYWH: Wish you were here
VIFUPI VYA WALIOBOBEA
• B4N: Bye for now
• DBEYR: Don’t believe everything you read
• FTW: For the win
• FWIW – For What It’s Worth -au- Forgot Where I Was
• IMHO: In my humble opinion
• IMNSHO: In my not so humble opinion
• ISO: In search of
• MHOTY : My hat’s off to you
• NIMBY: Not in my back yard
• NUB: New person to a site or game
• OT: Off Topic
• PROPS: Proper respect and acknowledgement
• RBTL: Read Between The Lines
• RTM: Read the manual
• SOHF: Sense of humor failure
• TYVM: Thank you very much
• VBG: Very big grin