Injinia wa Google adai Mfumo wa Roboti umepata Hisia, Unajitambua. Google wamsimamisha kazi
Injinia adai mfumo wa roboti umepata hisia na kuweza kujitambua na kujipa sifa ya kuwa sawa na mwanadamu. Roboti huyo anayetengenezwa na Google kupitia teknolojia za AI (Akili bandia – artificial intelligence) ni roboti spesheli kwa ajili ya mazungumzo. Madai hayo yameleta mtafaruki kwa wadau wa masuala ya usalama wa kiroboti.