Lifanye betri la kwenye saa ya Apple kuwa na maisha marefu
Katika maisha baada ya kuheshimu Mungu wetu, wazazi kitu kinachofuata ni muda kwani bila ya hivyo vitu vinakuwa haviendi kwa mpangilio. Kuwa katika ulimwengu wa kiteknolojia kumerahisisha mengi lakini bado saa hazijasahaulika ila zinazidi kuboreshwa.