fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania

simu Smartphones

Simu Janja Zenye Betri Maradufu! #2021

Simu Janja Zenye Betri Maradufu! #2021

Spread the love

PhoneArena wamefanya uchunguzi kwa baadhi ya simu janja na kujua kwamba ni simu janja gani ambayo inakaa na chaji muda mrefu kuliko zingine.

Ni wazi simu janja ziko nyingi sana lakini hapa wamechukua zile simu janja ambazo ni maarufu kidogo vipengele wavyoangalia ni kama vile simu janja za bei ya juu (maarufu) simu za bei ya kawaida.

SOMA PIA  Tabiti: Ifahamu Samsung Galaxy View 2

Namna ya kuangalia ulaji wa chaji PhoneArena walitumia njia kama vile kuingia mtandaoni kwa kutumia intaneti, kuangalia ulaji wa betri wakati video zinachezwa na ulaji wa betri wakati magemu (tena yake ya 3D)

Sasa Basi, Imekaa Hivi

Simu za maarufu za bei ya juu zinazoka na chaji muda mrefu

  • Samsung Galaxy S21 Ultra (5000 mAh)

Galaxy 21 Ultra

  • Xiaomi Mi 10 Pro (4500 mAh)
Xiaomi 10 Pro

Xiaomi 10 Pro

  • OnePlus 8 (4300 mAh)
OnePlus 8

OnePlus_8

  • Galaxy S20+, S20 FE (4500 mAh)
Simu Za Samsung

Simu Za Samsung

  • iPhone 12 Pro Max (3687 mAh)
iphone 12 pro max tanzania

iPhone 12 Pro Max

Simu za maarufu zenye bei ya chini kidogo zinazoka na chaji muda mrefu

  • Motorola One Fusion+ (5000 mAh)
Motorola One Fusion Plus

Motorola One Fusion Plus

  • Samsung Galaxy A21s (5000 mAh)
Samsung Galaxy A21S

Samsung Galaxy A21S

  • Moto G Power (5000 mAh)
Moto G Power

Moto G Power

Chanzo Na Habari Kamili :PhoneArena

SOMA PIA  Samsung Galaxy S8: Samsung watengeneza simu rahisi zaidi kuvunjika kisha waitengenezea kikava

Je wewe unakubaliana na listi hii? unahisi kuna simu yeyote imerukwa?. ningependa kusikia kutoka kwako, niandikie hapo chini katika eneo la comment

Kumbuka Kutembelea Mtandao Wako Wa TeknoKona Kila Siku Kwani Daima Tupo Nawe Katika Teknolojia!.

Hashiman (@hashdough) Nuh

Mhariri Wa TeknoKona Na Mmoja Kati Ya Wafuasi Wa Teknolojia! Naomba Tuikuze TeknoKona Wote Basi.
Ningependa Kusikia Kutoka Kwako Nitumie Barua Pepe hash@teknokona.com

Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

TeknoKona Teknolojia Tanzania