fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania

Uchambuzi

Samsung inawaaibisha watengenezaji simu wa China kwa kusambaza Android 12
AndroidAndroid 12SamsungsimuTeknolojiaUchambuzi

Samsung inawaaibisha watengenezaji simu wa China kwa kusambaza Android 12

Baada ya Google, Samsung ilikuwa OEM ya kwanza kutoa sasisho la hivi punde zaidi la Android 12 kwa wateja, na takriban mwezi mmoja baada ya kuanzishwa kwa mara ya kwanza, Samsung inaendelea kuwaongoza wapinzani wake, wengi wao wakitoka China. Mpaka sasa Samsung ndio watengenezaji pekee wa simu janja za Android waliofanya Android 12 ipatikane ili…

TeknoKona Teknolojia Tanzania