Android, Samsung, simu, Uchambuzi
Yote unayotakiwa Kujua Kuhusu Samsung Galaxy S7 na S7 Edge
Samsung wametambulisha rasmi matoleo yajayo ya familia ya simu zake maarufu zinazotumia jina la Galaxy S. Kupitia makala hii pata kuzifahamu kwa undani simu...
Android, simu, Uchambuzi
Ifahamu simu ya Tecno Phantom 5, Muonekano na Sifa zake! #Uchambuzi
Kwa kipindi cha miezi kadhaa wengi wametuomba tuichambue simu ya Tecno Phantom 5, na tukataka tukifanya hivyo basi iwe ni baada ya kuitumia. Ifahamu...
simu, Uchambuzi
ZenFone Zoom: Ifahamu Simu Janja Kutoka ASUS yenye Kamera ya ‘Optical Zoom’
ASUS? Ndiyo, kampuni mashuhuri katika utengenezaji wa laptop inakuja na simu janja yenye sifa kali sana katika uwezo wa kamera – ZenFone Zoom. Na...
simu, Uchambuzi
Hii ni Simu janja Yenye Uwezo wa Kukaa na Chaji kwa Zaidi ya Siku 10
Simu janja yenye uwezo wa kukaa na chaji kwa zaidi ya siku 10? Haraka haraka jambo hili linaonekana bado ni ndoto ila tayari kuna kampuni...
simu, Teknolojia, Uchambuzi
Simu Tano Za Ajabu Ambazo Ni Mbadala Kati Ya Samsung Na Apple!
Ndio! ni vizuri kuwa na simu kama Samsung na Apple lakini saa zingine inaboa kuona kitu kinachobadilika katika simu yako ni namba pale mwisho...
Google, Maujanja, meseji, Teknolojia, Uchambuzi
Jinsi Ya Kufufua Barua Pepe Zilizofutika Katika Gmail!
Kwa siku zinatumwa na kupokelewa barua pepe (E-mail) zaidi ya bilioni 205 kupitia mtandao wa Gmail. Namba hii kubwa ya barua pepe inapatikana kwa kuwa watu...
Intaneti, Uchambuzi
Kurasa Zinazoongoza Kuhaririwa Katika Wikipedia!
Wikipedia ni sehemu ambayo mtu yeyote anaweza kujiandikisha na kisha kuandika kitu/vitu kuhusu topiki fulani. www.wikipedia.org inatumia mfumo wa wiki —Yaani mtu yeyote anaweza...