fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania

Maujanja

Njia Mbalimbali za Kushusha Video kutoka YouTube!
AndroidFirefoxIntanetiiOSJinsiKompyutaMtandaosimuVideoYouTube

Njia Mbalimbali za Kushusha Video kutoka YouTube!

Iwe kupitia simu yako au kwenye kompyuta wengi tunapenda kuwa na baadhi ya video tunazozipenda ili tuweze kuzitazama tena na tena. Zifuatazo ni njia mbalimbali za kukuwezesha kushusha ( kimombo-Download) video mbalimbali kutoka Youtube na ata mitandao mingine. Usisahu kusambaza makala kwa wengine pia. Kwenye MTANDAO.   ClipConverter (Mtandao) ClipCoverter ni mtandao unaopatikana kwa anuani…

FacebookJinsi

Jinsi ya Kuunganisha Twitter na Facebook!

Watu wengi wanajiunga Twitter kwa sasa Tanzania, na wengi wangependa kuunganisha akaunti zao ili kurahisisha kutuma hali zao (‘status’ zao). Makala hii itakuonyesha jinsi ya kuungannisha akaunti yako ya Twitter na Facebook ili Tweets zako moja kwa moja baada ya wewe kuziposti zitokee pia kwenye akaunti yako Facebook. 1: Ingia kwenye akaunti yako Twitter 2:…

AirtelAndroidIntanetiJinsisimuTanzaniaTigoVodacom

Wezesha Intaneti Kwenye Simu/Tableti ya Android!

Mitandao yetu ya simu huwa inatuma mipangilio(settings) ya huduma za intaneti lakini mara nyingi imegundulika hawajafanya mabadiliko ya mipangilio hiyo ili iendane na simu za kisasa na matokeo yake mipangilio hiyo inashindwa kufanya kazi. Hii inatokea kwa simu nyingi hasa za mfumo wa Android. Hivyo Teknokona tumeona ni vizuri upate kuondoa usumbufu wa kuhangaika kuwezesha…

AirtelBlackberryMaujanjasimuTabletsTanzaniaTigoVodacom

Tatua Utumiaji Wa Intaneti Kwenye Blackberry Bila BIS

Vifurushi vya BIS ndiyo watu wangu huwa wanazungumzia kama BBM, lakini huwa wanakosea. Ulipii huduma ya BBM (Blackberry Messenger) bali unacholipia huwa ni huduma ya BIS (Blackberry Internet Service), ambayo ukishajiunga unapata mlolongo wa huduma nyingine nyingi za intaneti katika simu yako ya Blackberry kama kuweza kutumia huduma ya kuchati ya Blackberry (BBM), huduma za…

TeknoKona Teknolojia Tanzania