fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania

apps

Skype Kutafsiri Lugha Moja kwa Moja Kwenye Mazungumzo
appsIntanetiKompyutasimuTeknolojia

Skype Kutafsiri Lugha Moja kwa Moja Kwenye Mazungumzo

Huduma maarufu ya kuchati na kupiga simu ya Skype katika kuboresha zaidi teknolojia wameleta uwezo wa watu wanaopigiana simu au kuchati kutumia lugha tofauti kuelewena moja kwa moja bila kubadilisha lugha zao. Kupitia teknolojia hiyo kwa mfano mmoja anaweza akawa anaandika au kuongea kijerumani na mwingine akawa anazungumza/kumjibu kwa kiingereza na watu hawa wakaelewana moja…

Instagram yaipita Twitter Kwa Ukubwa: Mabadiliko Yanakuja!
appsIntanetiMtandaoMtandao wa Kijamii

Instagram yaipita Twitter Kwa Ukubwa: Mabadiliko Yanakuja!

Haipingiki ya kuwa kamera za simu-janja zetu zinatumika kwa kupiga selfi siku hizi kuliko utumiaji mwingine wowote, na katika picha tunazopiga basi asilimia kubwa zinaishia Instagram. Na kutokana na utumiaji huu wa mtu mmoja mmoja basi tumeweza isaidia Instagram kukuwa kwa kasi zaidi katika miezi tisa iliyopita kufikia kiasi cha kuufunika mtandao mwingine maarufu wa…

App ya Wiki: LeanDroid
Androidapps

App ya Wiki: LeanDroid

Programu ya LeanDroid ya Androidi ni appu moja ya aina yake. Kazi yake ni rahisi – kurefusha maisha ya chaji yako kwenye simu na kukufanya usisumbuke kuwasha na kuzima intaneti. Unaweza usiamini kusikia hii bila maelezo ila maelezo yake ni marahisi na madogo kama programu yenyewe: Hivi ndivyo LeanDroid inavyofanya kazi: Unapofunga skrini, inasubiri dakika…

Tabiri Mechi kwa Simu au Kompyuta Yako
appsTeknolojia

Tabiri Mechi kwa Simu au Kompyuta Yako

Mpira wa miguu ni mchezo uliotawala Afrika na watu wanapenda kutabiri na kubashiri mechi za mpira. Kubashiri kunategemea na mtu mwenyewe kuona kama kubashiri mpira ni sawa au kitu kibaya. Kwa wanaopenda kutabiri, kwa sababu binafsi na kiutani, Goal.com Live Scores ni programu ya simu, tableti na kompyuta inayotoa taarifa mbalimbali kusaidia kutabiri mechi za…

Facebook  Waja Na Safety Check!
appsFacebook

Facebook Waja Na Safety Check!

Kampuni nguli inayohusiana na mitandao ya kijamii Kupitia mtandao wao wa Facebook, imekuja na ‘tool’ mpya inayoitwa ‘Safety Check’ambayo inaweza kutaarifu familia na marafiki kwamba mtumiaji yupo salama. Facebook itatumia maeneo (location) katika maprofile ya watu ili kuangalia nani atakua hatarini. Pia itatumia watu waliokaribu (Nearby Friends) na watu wa eneo hilo kwa ujumla wanaotumia…

AndroidAppleappsIntanetiMtandaoMtandao wa KijamiisimuTeknolojia

Mambo 20 Kuhusu Mtandao Wa Kijamii Wa Twitter!

  Twitter ni mtandao wa kijamii wa pili kwa ukubwa duniani. Maarufu kwa meseji zake zenye maneno 140 tuu zinazojulikana kama ‘Tweets’. Twitter ilianzishwa mwezi  Machi 2006 na katika kipindi cha miaka nane ilipata umaarufu wake duniani kote. Kwa sasa Twitter ina watumiaji zaidi ya milioni 271 ambao wako hai (active users), amabao wana Tweet…

TeknoKona Teknolojia Tanzania