Xiaomi wanafanya majariibo ya teknolojia ya kuchaji haraka-150W
Makampuni mengi yamekuwa kazini wakiboresha muda ambao simu janja inatumia kujaa chaji na yamekuwepo mabadiliko mengi kwa miaka kadhaa sasa. Xiaomi wamekuwa na kiu ya kuboresha teknolojia ya kuchaji haraka.