fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania

simu Smartphones Xiaomi

Xiaomi Yaipita Apple Na Kuwa Namba 2 Duniani!

Xiaomi Yaipita Apple Na Kuwa Namba 2 Duniani!

Spread the love

Katika makampuni ya simu yenye sifa kedekede huwezi kuacha kulitaja Xiaomi, kampuni hii ni kubwa sana ambayo ina makao makuu huko nchini china.

Ukiachana na kuwa kubwa sana huko china hata duniani kote inafanya vizuri sana hali ambayo imepelekea makampuni mengine makubwa kama vile Apple na Samsung kuogopa.

Xiaomi Yawa Namba Mbili Kimauzo

Xiaomi Yawa Namba Mbili Kimauzo

Kuna muda (2019) Huawei  ilishangaza wengi baada ya kuingia katika tatu bora huku ikiwa ni ya pili pia kimauzo katika makampuni yote yanayouza simu suniani.

Sasa kama utashangaa hilo unaweza kushangaa zaidi nikikuambia kuwa kwa sasa kampuni hiyo inashika namba mbili na hii ni baada ya kuipita Apple kimauzo ya simu janja.

SOMA PIA  Apps za wanyama zawekewa katazo kulinda usalama wa wnyama pori

Hili limetokea katika robo ya pili ya mwaka 2021. Huku katika tano bora ikiwa imeshikiliwa na makampuni mengi kutoka huko china.

Kingine kinachosababisha hivi ni kwamba kampuni inakuza sana biashara yake kwa mataifa mengine kama vile ile amerika ya latini, Africa na ulaya.

SOMA PIA  Simu 20 Zilizouzika Zaidi Duniani Hadi Sasa-Namba 10 hadi 1

Ningependa kusikia Kutoka Kwako, Niandikie Hapo Chini Katika Eneo La Comment Hii Umeipokeaje? Unahisi Kuna Wakati Xiaomi Itaipita Samsung?

Kumbuka Kutembelea Mtandao Wako Pendwa Wa TeknoKona Kila Siku Kwani Daima Tupo Nawe Katika Teknolojia!.

Hashiman (@hashdough) Nuh

Mhariri Wa TeknoKona Na Mmoja Kati Ya Wafuasi Wa Teknolojia! Naomba Tuikuze TeknoKona Wote Basi.
Ningependa Kusikia Kutoka Kwako Nitumie Barua Pepe hash@teknokona.com

Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

TeknoKona Teknolojia Tanzania