fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania

simu

simuTablets

Android Na Shutuma ya ‘BOTNET’, Google Yaongea!

Kuna mtafiti mmoja kutoka kampuni ya Microsoft, Mr Zink, siku chache zilizopita alidai amegundua kwa mara ya kwanza kuwa kuna barua pepe za spam zinazotumwa kutoka simu za Android kwa mfumo wa BOTNET. Mfumo wa Botnet, Bot Herder ataweza Kuongoza kompyuta Nyingine bila Wamiliki Kugundua BOTNET ni programu zinazotengenezwa kuambukizwa kwenye kompyuta na vifaa vingine…

AirtelBlackberryMaujanjasimuTabletsTanzaniaTigoVodacom

Tatua Utumiaji Wa Intaneti Kwenye Blackberry Bila BIS

Vifurushi vya BIS ndiyo watu wangu huwa wanazungumzia kama BBM, lakini huwa wanakosea. Ulipii huduma ya BBM (Blackberry Messenger) bali unacholipia huwa ni huduma ya BIS (Blackberry Internet Service), ambayo ukishajiunga unapata mlolongo wa huduma nyingine nyingi za intaneti katika simu yako ya Blackberry kama kuweza kutumia huduma ya kuchati ya Blackberry (BBM), huduma za…

AndroidBlackberryIPhonesimuTabletsteknokona

RIM Yazidi Kuyumba. Simu za Blackberry 10 Hadi Mwakani!

Mwezi wa nne niliandika kuhusu hali ngumu kimauzo iliyokuwa inaikabili kampuni ya RIM (Research In Motion) watengenezaji wa simu maarufu za Blackberry, niliandika ‘RIM; Je Kifo Cha Kampuni ya BlackBerry Kinakaribia’. Hali mbaya bado inaendelea na sasa imefikia hatua wamesukuma mbele muda wa kuziingiza sokoni simu za kisasa zaidi za Blackberry 10 ambazo wengi wamekuwa…

AppleMicrosoftsimuTabletTabletsWindows 8

‘Surface’, Microsoft Waamua Kutengeneza ‘Tablet’!

Kabla ya kuwaelezea kuhusu hii tablet kutoka kampuni ya Microsoft, kwanza ningependa kuanza kwa kuelezea kitu gani kinaitwa ‘tablet’, naamini wengi watakuwa wanatambua ila nimeshauulizwa maswali mengi sana wakati watu wakiniona na tablet. Wengi wanaziita IPad hata kabla ya kujua inatengenezwa na kampuni gani. Tablet- ni jamii ya vifaa vya kompyuta vyenye muundo mdogo wa…

Smartphones

Ifahamu WhatsApp Messenger

Kwa watumiaji wa simu za Blackberry waliojiunga na Blackberry services wanafurahia huduma ya kutuma ujumbe wa maneno, sauti, picha pamoja na video kwa kutumia application ijulikanayo kama Blackberry Messenger (BBM) huduma ambayo imejipatia umaarufu mkubwa hasa kwa vijana. Kama nilivyodokeza mwanzo huduma ya Blackberry Messenger ni kwa ajili ya watumiaji wa simu za Blackberry tu…

Smartphones

Nokia yatambulisha Familia mpya ya Nokia Lumia

Kampuni kongwe inayojihusisha na utengenezaji wa simu za mkoni ya Nokia imetambulisha simu mpya mbili ambazo tayari zimeanza kupokea tathmini chanya kutoka kwa wataalamu mbali mbali wa maswala ya teknologia, simu hizo ambazo ni Nokia Lumia 800 pamoja na Nokia Lumia 710 zote zikiwa zinatumia mfumo wa uendeshaji (Operating System) aina ya Windows Phone uliobuniwa…

Smartphones

Apple yatoa Siri

Kampuni ya Apple inc ya nchini Marekani inayojihusisha na utengenezaji wa bidhaa mbali mbali za Teknologia ikiwa ni pamoja na simu zilizojipatia umaarufu mkubwa zilizopewa jina la iphone imekua na utamaduni wa wakuwaacha midomo wazi watumiaji wa bidhaa zao pamoja na wapinzani kila wanapotambulisha bidhaa au huduma mpya. Tarehe 4 mwezi huu Apple waliitambulisha na…

TeknoKona Teknolojia Tanzania