fbpx

Browsing Author: Hashdough

ipad-air-gold-apple

 

4-Apple-iPad-Air-in-Gold

Jinsi wateja wanavyozidi kufurahia iPhone 6 na 6 Plus bado wana shauku ya kujua nini kipya kitatoka tena hasahasa kwenye iPad.  Ripoti kutoka Apple Inc ni kwamba wateja wake wategemee iPad Air zenye rangi ya dhahabu (Gold) pia kuingia sokoni, na hii ni sababu wanataka linganisha na rangi za iPhone ili kuleta uwiano kidogo.

Continue reading
0 Comments
Share
1424344