Kampuni Ya Lenovo Yakaribia Kushika Soko la Kompyuta!
Kwa wengi wetu tutakapowaza kununua kompyuta mara moja tunawaza HP, Samsung au Dell, na mara chache Acer, ila je unajua Lenovo namba mbili duniani kwa mauzo ya kompyuta, tena ndani ya wiki chache zijazo kampuni hii inatemewa kushika namba moja! Lenovo ikifanikiwa itakuwa ndiyo kwa mara ya kwanza kwa kampuni ya Kichina kushika namba moja…