fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania

Kompyuta

AirtelAndroidAppleBISBlackberryIntanetiIPadIPhoneKompyutaMtandaosimuTabletTanzaniaTigoVodacom

Kwa Ufupi: Habari Mseto za Wiki!

Kuanzia sasa tutakuwa tunakuleta ‘Kwa Ufupi: Habari Mseto za Wiki!’ kila mwisho wa wiki tukikupa habari mbalimbali kwa ufupi ambazo hatukufanikiwa kuaziandika katikati ya wiki! Soma, i’tweet, ipe ‘Like’ na tuma kwa wengine..usisahau ku’Like’ ukurasa wetu wa Facebook www.facebook.com/teknokona Mwamvita Makamba ala shavu Afrika Kusini, sasa kufanyia kazi makao makuu!   Mtoto wa Mzee Yusuf…

AfrikaIntanetiKompyutaMtandaoTanzaniaUganda

TTCL Kukodisha Muunganisho wa Intaneti Kwa Uganda

Tanzania Telecommunications Company (TTCL) ina mpango wa kukodisha muunganisho wa intaneti kwa Uganda, ambayo inataka kujenga mbadala kutoka kutegemea muunganisho kupitia Kenya hapo Novemba, (Daily News). Hatua hiyo itawafaidisha watumiaji wa intaneti na kuwa kama ulinzi dhidi ya utegemezi wa cable moja (kupitia Kenya), na kuboresha kasi, na upatikanaji wa kuaminika wa intaneti nchini humo….

AfrikaappsKompyutasimuTabletTanzaniaTeknolojiaVodacom

AppStar Kutoka Vodacom, Watengenezaji wa Apps Mpo?

Kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu, Vodacom, imeandaa shindano kwa ‘developers’ katika nchi za Africa na Uarabuni kuweza kutengeneza, kuuza na hatimaye kushinda zawadi mbalimbali kutokana na mawazo yao na app watakazotengeneza. Kupitia shindano hili, wataalamu wa teknolojia wanaoishi na kufanya kazi katika nchi za Tanzania, Afrika Kusini, Misri, Lesotho na Qatar watapata nafasi…

AndroidAppleKompyutaTabletWindows 8

Kaa Tayari Kwa WIndows 8!

Chapa rasmi ya Windows 8 Weka viganja vyako tayari kwani Microsoft inajiandaa kukuletea Operating system nyingine katika mwendelezo wake wa familia za Windows. Operating system hii mpya itaitwa Windows 8. Microsoft inautangaza huu ujio mpya wa operating system ya Windows kama wazo jipya kabisa na la kipekee ambalo halijawahi kutokea katika ulimwengu mpana wa teknolojia…

TeknoKona Teknolojia Tanzania