fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania

Apple

Habari kuhusu Apple, vifaa vyake, teknolojia na mambo mbalimbali yahusuyo kampuni hiyo

AndroidBlackberryIntanetiIPhoneNokiasimuwhatsapp

WhatsApp: Inatumika Kupitisha Ujumbe Bilioni 10 Kwa Siku!

Leo, WhatsApp imetangaza kupitia Twitter kwamba programu yao maarufu ya WhatsApp inatumika kuhudumia ujumbe bilioni 10 kila siku. Kwa undani zaidi kuna takribani ujumbe takribani bilioni 4 zinazoingia na zinazotoka bilioni 6. WhatsApp Messenger ni programu ambayo inaruhusu kubadilishana ujumbe bila ya kutumia mfumo wa SMS. WhatsApp Messenger inapatikana kwa iPhone, Blackberry, Android, simu za…

AppleIPadTablet

iPhone 5, iPad Mini: Kutoka Mwezi wa Tisa!

Toleo la simu lijalo kutoka kampuni ya Apple, litakaloitwa iPhone 5 pamoja na tableti ya iPad Mini inayotegemewa kuleta ushindani zaidi dhidi ya tableti za Android, zinategemewa kuingizwa sokoni mwezi Septemba mwaka huu. Mtafiti kutoka kampuni ya KGI Securities, Bwana  Ming-Chi Kuo inasemekana simu na tableti hizo zipo katika hatua za mwisho kimatengenezo. Wakati huo…

AndroidBlackberryIPhonesimuTabletsteknokona

RIM Yazidi Kuyumba. Simu za Blackberry 10 Hadi Mwakani!

Mwezi wa nne niliandika kuhusu hali ngumu kimauzo iliyokuwa inaikabili kampuni ya RIM (Research In Motion) watengenezaji wa simu maarufu za Blackberry, niliandika ‘RIM; Je Kifo Cha Kampuni ya BlackBerry Kinakaribia’. Hali mbaya bado inaendelea na sasa imefikia hatua wamesukuma mbele muda wa kuziingiza sokoni simu za kisasa zaidi za Blackberry 10 ambazo wengi wamekuwa…

AppleMicrosoftsimuTabletTabletsWindows 8

‘Surface’, Microsoft Waamua Kutengeneza ‘Tablet’!

Kabla ya kuwaelezea kuhusu hii tablet kutoka kampuni ya Microsoft, kwanza ningependa kuanza kwa kuelezea kitu gani kinaitwa ‘tablet’, naamini wengi watakuwa wanatambua ila nimeshauulizwa maswali mengi sana wakati watu wakiniona na tablet. Wengi wanaziita IPad hata kabla ya kujua inatengenezwa na kampuni gani. Tablet- ni jamii ya vifaa vya kompyuta vyenye muundo mdogo wa…

AndroidAppleKompyutaTabletWindows 8

Kaa Tayari Kwa WIndows 8!

Chapa rasmi ya Windows 8 Weka viganja vyako tayari kwani Microsoft inajiandaa kukuletea Operating system nyingine katika mwendelezo wake wa familia za Windows. Operating system hii mpya itaitwa Windows 8. Microsoft inautangaza huu ujio mpya wa operating system ya Windows kama wazo jipya kabisa na la kipekee ambalo halijawahi kutokea katika ulimwengu mpana wa teknolojia…

TeknoKona Teknolojia Tanzania