Android, apps, iOS
Apps 10 Zilizopakuliwa zaidi mwaka 2020! #Apps #Downloads #Android #iOS
Je katika Apps 10 zilizopakuliwa zaidi mwaka 2020 unadhani app gani haiwezi kukosekana? App ya TikTok ndio app iliyopakuliwa zaidi kwenye simu janja kwa...
apps, Facebook, Usalama
Data za WhatsApp kupitia Facebook: Data kutumika Kibiashara zaidi
Data za WhatsApp kupitia Facebook, hilo ndilo badiliko jipya ambalo linatokea kwa watumiaji wote wa app ya WhatsApp duniani kote. Ni badiliko kubwa kwani...
apps, Facebook, Teknolojia, whatsapp
WhatsApp for Business: Biashara na makampuni kuanza kulipia WhatsApp
Kwa muda mrefu toleo la WhatsApp for Business, toleo rasmi la WhatsApp kwa ajili ya makampuni na biashara lilikuwa linapatikana na hakukuwa na mfumo...
apps, Facebook, instagram
Facebook waunganisha uwezo wa kuchati Instagram na Facebook
Facebook waunganisha uwezo wa kuchati Instagram na Facebook. Mara ya kwanza tuliandika kuhusu mpango wa Facebook kuunganisha uwezo wa kuchati na apps zingine za...
apps, Facebook, instagram
Facebook kuondoa katazo la matangazo yenye maneno mengi
Kwa muda mrefu tovuti ya kijamii ya Facebook imekuwa ikizuia matangazo yanayolenga kutumika Facebook au Instagram kama yatakuwa na maneno mengi kwenye picha.
Facebook, instagram, Mtandao wa Kijamii, Teknolojia
Watumiaji wa Instagram wamekuwa wakichunguliwa kupitia kamera za iPhone
Watumiaji wengi wa simu janja duniani kote mitandao ya kijamii ambayo ina watumiaji wengi wa kila siku inajumuisha Facebook, Instagram na nyinginezo ni WhatsApp,...
Facebook, Mtandao wa Kijamii, Teknolojia
Machapisho ya Virusi vya Corona kwenye Facebook yapata jicho la ziada
Mambo mengi hivi sasa ni kama hayapo vile lakini kumbe athari zake bado zipo palepale na hii inatokana na dunia kuweka nguvu zaidi kwenye...
apps, whatsapp
WhatsApp yaanzisha huduma ya kutumiana Pesa
Baada ya miezi ya kadhaa ya tetesi hatimaye wamiliki wa app ya WhatsApp wamezindua huduma ya malipo ya kutuma pesa kutoka kwa mtumiaji mmoja...
apps, Facebook, whatsapp
Huduma ya utumaji pesa ndani ya WhatsApp yaanza kupatikana
Huduma ya utumaji pesa ndani ya app ya WhatsApp yaanza kupatikana nchini Brazili.
Facebook, India, Mtandao wa Kijamii, Teknolojia
Facebook waanzisha uwezo wa kufungua wasifu
Kwenye dunia iliyotawaliwa na utandawazi kwa kiasi kikubwa kwebye mataifa mengi hakika kuna mengi yanatokea kutoka kila pembe ya ulimwengu na hivi kuna mitandao...
Facebook
Facebook Na Ununuzi GIPHY, Nini Tutegemee!
Facebook imenunua kampuni maarufu ya kutengeneza picha zinazojongea maarufu kama GIF. Kampuni hiyo inakwenda kwa jina la Giphy.
Facebook, Intaneti
Muonekano Mpya wa Facebook kwa watumiaji wa Kompyuta
Kwa muda mrefu Facebook waliweza baridi muenekano wa mtandao wao kwa watumiaji wa tovuti hiyo kupitia app ya simu, na sasa watumiaji wa kompyuta...