Ujio wa Android 12, Fahamu mambo mazuri kwenye masuala ya intaneti na data yanayokuja
Wakati simu mbalimbali zimeshaanza kupata masasisho ya Android 11, tayari Google wanafanyia kazi toleo la Android 12. Kuna maboresho mbalimbali makubwa yashaanza kuonekana kwenye utengenezaji wa toleo hilo lijalo la Android.