Marubani wafanya makosa ya undeshaji ndege kutokana na mapumziko ya #Covid19
Marubani wafanya makosa mengi katika kipindi cha mwaka mmoja na lawama zimeelekezwa kwenye janga la Covid 19. Tokea mwezi Mei mwaka jana hadi kipindi hichi makampuni mengi ya ndege yamepunguza safari zake kutokana na kuwa na abiria wachache.