fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania

All posts by Semu Msongole

Digital Marketing Strategist, Content Writer, and Social Media Manager at Teknokona Blog.

Fahamu kuhusu Shirika la NASA
AngaNASANdegeTeknolojia

Fahamu kuhusu Shirika la NASA

NASA ni shirika la kitaifa la Utawala wa Anga nchini Marekani linalohusika na utafiti pamoja na utengenezaji wa teknolojia za Anga. Shirika hili la NASA lilianzishwa maalum kwaajili ya kusimamia mambo makuu manne ikiwemo kufanya tafiti kuhusu chimbuko la dunia pamoja na sayari zingine na Kutengeneza teknolojia za kumwezesha binadamu kufanya utafiti wa kisanyansi nje…

YouTube inaondoa hesabu ya kutopendwa kwenye video zote ndani ya jukwaa lake
IntanetiMtandao wa KijamiiTeknolojiaYouTube

YouTube inaondoa hesabu ya kutopendwa kwenye video zote ndani ya jukwaa lake

Youtube ni jukwaa la kuangalia video mtandaoni na pia kutuma video mtandaoni zenye ukubwa wowote. Jukwaa hili lina wastani wa watumiaji milioni 500 kwa mwezi. Pia jukwaa hili lipo chini ya Google. Watu mbalimbali hutumia youtube kutuma maudhui yao na kulipwa kutokana na vigezo walivyonavyo na wengine huitumia tu kwa kuangalia maudhui ya wengine.

Huduma za serikali zinazopatikana Mtandaoni
IntanetiKompyutaMaujanjaTanzaniaTeknolojia

Huduma za serikali zinazopatikana Mtandaoni

Kutokana na ukuaji wa teknolojia ya mawasiliano serikali ya Tanzania imefanikiwa kutoa baadhi ya huduma zake kupitia mtandao. Huduma hizi za serikali zinazopatikana mtandaoni zimesaidia kuongeza ufanisi wa serikali kutoa huduma zake kwa wananchi. Mamlaka ya serikali mtandao (eGA) inahusika moja kwa moja na utengenezaji wa mifumo hii ikishirikiana na mashirika mengine ya serikali.

Jinsi ya kutengeneza Youtube Channel
IntanetiMaujanjaMtandao wa KijamiiTeknolojiaYouTube

Jinsi ya kutengeneza Youtube Channel

Moja kati ya njia za kujiingizia kipato kupitia mtandao ni kwa kutengeneza Youtube Channel . Kampuni ya Google kupitia huduma yake ya Youtube ya kuangalia video mtandaoni imewapa nafasi watumiaji wenye Youtube Channel kujiingizia kipato kupitia matangazo mbalimbali yatakayokuwa yanaonyeshwa katika video wanazotuma pamoja na kuwa na idadi kubwa ya wafuasi waliojisajili katika channel yako.

TeknoKona Teknolojia Tanzania