fbpx

Browsing Category:apps

simu-zinaweza-saidia-kutibu-saratani-pia

SmartphonesAll

Hapo zamani simu za mikononi zilikua zikishutumia kuwa ni moja kati ya visababishaji vikuu vya kansa na sio tiba ya ugonjwa huo. Mida imebadilika na mambo pia yamebadilika Taasisi ya Marekani The Nation Cancer Institute imetoa uoga huo kuhusianana matumizi ya simu  kwa watu. Na sasa simu-janja (smartphone) zetu zinaweza kutusaidia kugundua Saratani na kujua njia mbalimbali za kujikinga nayo.

Continue reading
0 Comments
Share
157585960