Facebook, Tanzania, Teknolojia
JIEPUSHE Na Ku’click ‘Link’ Zisizo Na Maana Kwenye Mitandao Ya Kijamii!!
Siku chache zilizopita nilishangaa kupata mfululizo wa updates Facebook nikiambiwa rafiki yangu mmoja ameni’tag’ kwenye video flani. Kuja kuangalia ukurasa wangu wa Profile Facebook...