Samsung Kulipa Mamilioni Ya Dola Dhidi Ya Kesi Ya Upotoshaji Huko Australia!
Licha ya Samsung kuwa ni kampuni kubwa sana lakini bado kuna kesi mara kwa mara huwa inalikabili kampuni hilo, na cha kushangaza hadi zile za uzembe.
Licha ya Samsung kuwa ni kampuni kubwa sana lakini bado kuna kesi mara kwa mara huwa inalikabili kampuni hilo, na cha kushangaza hadi zile za uzembe.
Kampuni inajulikna kama Nothing, hii ni kampuni mpya kabisa na inajihusisha na uzalishaji wa vifaa vya kielektroniki.
Fununu ambazo si rasmi ila tayari zinasambaa na kwa baadhi ya nchi zisha achiwa huru juu ya kampuni ya simu INFINIX MOBILE kuja na simu Mpya aina ya INFINIX NOTE 12 VIP.
Samsung ni moja kati ya kampuni kubwa kabisa za kutengeneza na kuuza simu licha ya kuwa na uzalishaji mkubwa sana wa simu kwa mwaka, hilo linabadilika mwaka huu.
Simu za mfumo huu kutoka katika kampuni ya Google zinasubiriwa kwa hamu sana na kwa mwaka huu tulikua tunategemea tupate hata moja kutoka katika kampuni hilo.
Twitter ni mtandao wa kijamii unaotumika na watu mbalimbali kubadilishana mawazo kupitia jumbe fupi. Mtandao huu wa kijamii ulianzishwa mwaka 2006, waanzilishi wakiwa ni Jack Dorsey, Biz Stone, Evan Williams na Noah Glass.
Zoezi la uandikishaji wa anwani za makazi linaendelea nchi nzima kwa lengo la kufanya maeneo yetu yaweze kutambulika kirahisi na hata kurahisisha upatikanaji wa huduma mbalimbali.
Imekuwa kama desturi ya makampuni mengi kutoa simu janja ambazo zinakuwa zina jina moja huku zitofautiana aidha kwa namba au kwa vivumishi fulani fulani. Samsung mi moja ya makampuni hayo ambapo wapo mbioni kutoa Galaxy F13.
Kwnye dunia ya leo makampuni mengi ambayo yapo kwenye ushindani yanapambana kuweza kuja na bidhaa ambazo zitavutia wateja wengi. Hivi nikuulize unajisikiaje ukiwa na chaji ambayo inajaza betri ndani ya robo saa tu?
Mwaka huu Xiaomi 12 Ultra itatoka na simu hii inaonekana isiwe tofauti sana ile iliyotoka nyuma yake kwa maeneo mbalimbali yanayopendwa na watu.
Motorola wapo njiani kuja na simu janja mpya ambayo inaonekana kuna nguvu nyingi zimewekezwa kuhakikisha kuwa kamera ya rununu husika inakuwa ni yenye ubora wa kuvutia.
Snapchat ni moja ya mitandao ya kijamii ambao wengi waitumia Snapchat asilimia kubwa ni Wamarekani kundi la vijana na kama ilivyo kwa mitandao ya kijamii mingine uraibu wa matumizi upo njenje.
Twitter inapanua ufikiaji wa Hali yake ya Usalama kwa kuleta beta kwa takriban asilimia 50 ya akaunti nchini Marekani, Uingereza, Kanada, Australia, Ireland na New Zealand. Kampuni ilianza kujaribu kipengele hicho Septemba na idadi ndogo ya watu. Inapanua toleo la beta katika nchi za ziada zinazozungumza Kiingereza ili kupata maarifa zaidi na kutafuta njia za…
Makampuni mengi yamekuwa kazini wakiboresha muda ambao simu janja inatumia kujaa chaji na yamekuwepo mabadiliko mengi kwa miaka kadhaa sasa. Xiaomi wamekuwa na kiu ya kuboresha teknolojia ya kuchaji haraka.
Nokia G11 ni simu janja iliyozinduliwa lakini haikuwa na shamrashamra za matangazo kuhusiana na uzinduzi wake na badala yake watu walishangaa kuikuta kwenye tovuti ya Nokia kama bidhaa yao mpya.
Kwa miaka kadhaa sasa simu janja za Nokia zimekuwa kwenye ulingo wa ushindani na makampuni mengine ambayo nayo yanatoa rununu zinazovutia na zinazoendana na teknolojia ya kusasa. Nokia G21 imezinduliwa leo ikiwa imeboreshwa maeneo mbalimbali.
Mdundo, huduma ya utiririshaji muziki inayolenga Afrika, inaweka benki kwenye ushirikiano zaidi na telcos katika bara zima ili kukuza mapato yake na msingi wa watumiaji. Mwaka jana, kampuni hiyo ilitia saini mikataba na MTN na Airtel nchini Nigeria, na Vodacom nchini Tanzania, ambayo inaonekana kuwa na faida baada ya watumiaji wake karibu kuongezeka maradufu kwani…
Mapema mwaka huu Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa YouTube Susan Wojcicki alitoa muhtasari wa mpango mpya wa video aliokuwa akipanga kwa mwaka ujao, ikiwa ni pamoja na dokezo kali kwamba ilikuwa ikizingatia kuanzishwa kwa NFTs kwa watayarishi kuunganishwa kwa njia tofauti na mashabiki. Leo, afisa mkuu wa bidhaa wa tovuti, Neal Mohan, amechapisha chapisho kwenye blogu…
Teknolojia imekuwa ikipanuka siku hadi siku na kwa wale tunaofahamu si ajabu mtu kutembea na pesa nyingi tuu ambazo hazionekani kwa macho lakini zimehifadhiwa kwa njia ya kidijiti na mhusika ana uwezo wa kufanya malipo (miamala) bila wasiwasi wowote.