Labda Mpaka Kufikia 2023 iPhone Zitakua Na Charge Ya Type-C (USB-C)!
Fununu zinasema mpaka kufikia 2023 kwa iPhone ambazo zinakuja basi zitakua na sehemu ya kuchaji ambayo tundu lake litakua ni lile la Type-C.
Fununu zinasema mpaka kufikia 2023 kwa iPhone ambazo zinakuja basi zitakua na sehemu ya kuchaji ambayo tundu lake litakua ni lile la Type-C.
Sasa hivi simu janja za kujikunja ni nyingi mno na kwa sasa teknolojia hii kwa kiasi kikubwa imeanza kuzoeleka.
Samsung Galaxy A51 imekuwa simu janja ya kwanza kufanana na iPhone na hii imefanya rununu (Galaxy A51) kuwa na upekee wa aina yake. Je, unajua ni upi huo?
Kukatazwa kutembelea tovuti fulani kwenye kifaa cha kidijitali inafanya watu kutafuta njia mbadala ya kuweza kuperuzi bila kuweza kujulikana na hapo ndipo matumizi ya VPN yanakuja sehemu yake ambapo watumiaji wa Google One wana uwezo wa kuzunguka huku na kule mtandaoni kwa uhuru.
Katika kusaidia bidhaa za mbalimbali za Apple kuweza kupatikana kirahisi mara zinapopotea AirTags kimekuwa ni kifaa muhimu sana kwa wale ambao wanapenda kuweka ulinzi kwenye vitu vyao vya kidijiti.
Mwanamume mmoja amehukumiwa kifungo cha miezi 26 jela kwa kuhusika katika njama ya kuilaghai Apple zaidi ya dola milioni moja kwa kuidanganya kampuni hiyo kubadilisha mamia ya simu ghushi za iPhone na kutumia simu halisi kupitia mpango wake wa udhamini. Haiteng Wu, 32, Mchina aliyehitimu shahada ya uzamili ya uhandisi anayeishi McLean, Virginia, alihamia Marekani…
Kampuni ya Apple inayohusika na uundaji pamoja na utengenezaji wa simu janja za iPhone imepanga kuanza kutengeneza modem zake wenyewe za 5G kwaajili iPhone zitakazoanza kutoka mwaka 2023. Apple pamoja na makampuni mengine ya utengenezaji wa simu hutumia modem za Qualcomm kwaajili ya mtandao katika simu janja zake.
Hivi unajua kwa matoleo mapya katika simu kutoka kampuni ya Apple maarufu kama iPhone unaweza kuipata simu — ikiwa imezimwa — yako hata kama imeibiwa au umeishahua mahali.
Ulaya kulazimisha chaji za USB-C kwa makampuni yote ya utengenezaji wa simu. Wanasiasa wa Jumuiya ya Ulaya (EU) wamekuwa wakifanya kampeni kwa zaidi ya muongo mmoja kwa ajili ya kutumia aina moja ya chaja, na utafiti wa Tume ulikadiria kwamba chaja zinazotupwa na zisizotumiwa huzalisha zaidi ya tani 11,000 za taka kwa mwaka.
Kwa wiki kadhaa zimekuwepo habari kuhusu uzinduzi wa bidhaa mbalimbali za Apple mwezi huu lakini wahusika walikuwa hawajathibitisha hilo. Sasa ni rasmi Septemba 14 ndio tarehe ya shughuli yenyewe.
Mwezi juni niliandika kwamba kampuni ya Xiaomi imejitutumua na kushikilia nafasi ya pili katika soko la kutengeneza na kuuza simu duniani.
Tuzo za zinazojulikana kama IPPAWARDS zimefanyika kwa mwaka 2021 na iphone 5s imeshinda moja kati ya picha bora (iliyopigwa na simu hiyo).
Hivi ushawahi kujiuliza kwamba ni App zipi katika iPhone yako unazitumia sana? sawa inawezekana kwa harahara ukajiua kwa kuangalia uliyotumia sana.
Kwa wale amabao wanapenda simu janja za iPhone ambazo ni ndogo na zinakaa vizuri katika mikono yao matoleo haya (kama iPhone 12 Mini) yalikua ndio kimbilio lao.
Teknolojia Hii unaweza iita Underdisplay Fingerprint ila Kwa Apple twende na under display touch ID. hiki sio kitu kigeni kabisa maana simu nyingi tuu inatumia teknolojia hii.
iPhone 13 kutoka Apple inatarajiwa kuzinduliwa rasmi mwaka huu, ikiwa ni bado utambulisho wake bado kumekuwa na fununu mbali mbali kuhusiana na vipengele vya simu hiyo.
iPhone nyingi watu wanazifurahia sana kwani zina karibia kila kitu ambacho kinahitajika kwa simu janja, lakini wengi wanasema tatizo ni betri katika simu hizo. Ni kweli chaja ni muhimu sana katika simu na simu janja nzuri ni ile amabayo chaja haaishi haraka.
Hivi ndivyo vilivyotangazwa na Apple katika tukio lao la jana. Apple wametambulisha toleo lingine la iPhone 12 – lenye rangi la urujuani (purple) na vifaa vingine kadhaa vipya vinavyotumia prosesa ya kisasa ya M1.
Kutumia toleo la karibuni kabisa linalohusisha programu endeshi au masasisho mengine yanayotolewa kwa maana ya kukifanya kifaa kiwe salama zaidi si jambo la kupuuzia hata kidogo na hii ni wa watumiaji wa Android halikadhalika iOS.
Facebook waanza kuomba data za watumiaji wa iPhone baada ya Apple kuanza kuweka ulinzi mpya wa data za watumiaji wa simu za iPhone katika toleo la iOS 14.