Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya magari yanayotumia mfumo wa umeme ya Tesla, amesema walishajaribu kuwauzia Apple kampuni ya Tesla ila Tim Cook alizingua. Inasemekana...
Pengine kifaa kingine ambacho Apple itawaletea wapenzi wa vifaa na huduma zake ni headphone, hapo kwa wale wapenda kutumia headphone kama katika kusikiliza miziki...
Apple watambulisha prosesa mpya za M1 kwa ajili ya kutumika katika laptop zake za Macbook. Kupitia prosesa hii wameweza kutengeneza laptop zenye ufanisi bora...
Apple watambulisha simu mpya za iPhone 12 na 12 Pro, simu ambazo zinakuja na mabadiliko makubwa katika ubunifu na teknolojia uliofanywa na Apple ukilinganisha...
Biashara ya vifaa vya kieletroniki hususani simu janja pamoja na ukuaji wa teknolojia kwa kuwepo kwa aina mbalimbali za upashanaji habari lakini bila kusahau...
Mwezi Septemba unafahamika kwa Apple kutoa bidhaa nyingi na uzinduzi wa vifaa vya kidjiti. Tayari kupitia vyanzo vya kuaminika imeshajulikana tutegemee kuona nini.