Apple dhidi ya Facebook – Mapato ya biashara ya Matangazo Facebook hatarini. #Data #Usalama
Kuna ugomvi mkubwa kwa sasa kati ya Apple dhidi ya Facebook kwenye masuala ya usalama wa data za watumiaji simu. Kampuni ya Apple imesema inafanyia kazi kuwezesha watumiaji wa simu na tableti zake kuwa na uwezo wa kuchagua kutoruhusu apps kama za Facebook kufuatilia utumiaji wao wa simu na data zao zingine binafsi zinazotumiwa na…