Android, apps, Google, Maujanja
Google: Sasa unaweza kufahamu jina la Wimbo kupitia app ya Google
Iwe kwa wewe kuimba au kwa kusikia kutoka eneo la karibu sasa unaweza kufahamu jina la wimbo kupitia app ya Google.
ALPHABET, Google, Teknolojia
Kutoka Googol kwenda Google: Fahamu Historia ya jina la Google!
Je, wajua kuna muda ambao kosa moja linaweza likajenga kitu cha kitofauti zaidi? Hivyo ndivyo historia ya jina la Google, huduma ya utafutaji maarufu...
Android, apps, iOS, Teknolojia
Kuhusu kuzuia makelele ya nje kwenye Google Meet
Utulivu wakati wa kufanya mawasiliano ni kitu muhimu hasa pale inapobidi kusikia yote ambayo yanasemwa na mzungumzaji upande wa pili. Teknolojia ya siku hizi...
CocoFax, Gmail, Google, Teknolojia
Unafahamu nini kuhusu CocoFax?
Teknolojia imekuwa bora kila leo na bado na haijaishia hapo kwani hadi leo hii kuna mashirika, taasisi matumizi ya kipepeshi ni nyenzo ya kufanikisha...
Google, Mtandao wa Kijamii, Teknolojia, TikTok
Inaaminika kuwa TIkTok ilikusanya taarifa za watu bila idhini yao
Moja ya programu tumishi ambayo imetokea kupendwa sehemu nyingi duniani katika kipindi cha muda mfupi ni TikTok na katika siku za karibuni kampuni mama...
Google, Intaneti, Teknolojia
Google kuwezesha mtu kuweka taarifa binafsi mtandaoni
Google ni kampuni ambayo imerahisisha sana watu kuweza kutafuta vitu kwa kutumia teknolojia na pengine isiwe lazima sana kumuuliza mtu kuhusu kitu fulani na...
Android, apps, Google, Teknolojia
Google wazindua Nearby Share
Kwa muda mrefu umekuwepo uvumi kuwa Google wapo mbioni kutoa kitu ambacho kinafanya kazi sawa na AirDrop ya Apple hatimae sasa sio uvumi tena...
Android, apps, Google
Programu tumishi ya Play Music kusitishwa mwezi Desemba
Wale wote wanaotunia Play Music kusikiliza nyimbo mbalimbali basi wafamu ya kuwa wana miezi nne tu ya kuendelea kutumia programu tumishi husika.
Android, Android Go, apps, Google
Files ya Google yaboreshwa usalama wake
Katika dunia ya leo suala la ulinzi katika ulimwengu wa utandawazi ni kitu ambacho makampuni ambayo yanajishughulisha na teknolojia yamekuwa yakijidhatiti siku baada ya...
Android, apps, Google Playstore, Huawei
Huawei bila Google sasa hadi Mei 2021, na inawezekana ikawa zaidi tena
Huawei wataendelea kutengeneza simu bila huduma za Google kwenye simu zake hadi mwaka 2021, mwezi Mei.
Android, Google
Google Sabrina: Kipya kutoka Google, Utapata Android TV kwa bei nafuu
Google wapo katika hatua za mwisho za utambulisho wa bidhaa yao mpya ya Android TV ambayo hadi sasa wanatumia jina la Sabrina ndani ya...
Google
Kuna nia ya kuitenganisha Google na biashara yake ya matangazo. #Marekani
Wanasheria wakuu wa baadhi ya majimbo nchini Marekani waangalia kama kuna ulazima wa kuilazimisha na kuitenganisha kampuni ya Google na biashara yake ya matangazo...