Apps za Kurekodi Mazungumzo ya Simu, Marufuku kwenye Google Playstore
Google wapiga marufuku uwepo wa apps za kurekodi mazungumzo ya simu kuwepo kwenye soko lake maarufu la apps la Google Playstore kuanzia Mei mwaka huu.
Google wapiga marufuku uwepo wa apps za kurekodi mazungumzo ya simu kuwepo kwenye soko lake maarufu la apps la Google Playstore kuanzia Mei mwaka huu.
Mtandao wa kijamii wa Twitter kama ilivyo mingine mtu anaweza akatumia kupitia kivinjari kwa kutembela tovuti au kifaa chake cha kiganjani ambacho kinaweza kutoka kwenye programu endeshi mbili maarufu.
Samsung ilithibitisha Jumatatu kwamba baadhi ya data zake ziliibiwa kama sehemu ya shambulio la mtandao ambalo liliripotiwa kwa mara ya kwanza mwishoni mwa wiki. Katika taarifa kwa Bloomberg, kampuni kubwa ya vifaa vya elektroniki ya Korea ilifichua kwamba ukiukaji wa usalama ulisababisha “baadhi ya source code (msimbo) zinazohusiana na uendeshaji wa vifaa vya Galaxy”.
Mfumo wa kutumia jumbe za sauti kueleza kitu fulani na ta kuwasambazia wengine kwenye WhatsApp na kwingineko imekuwa ni kitu cha kawaida sana na watu wengu wanatumia duniani kote.
Snapchat ni moja ya mitandao ya kijamii ambao wengi waitumia Snapchat asilimia kubwa ni Wamarekani kundi la vijana na kama ilivyo kwa mitandao ya kijamii mingine uraibu wa matumizi upo njenje.
Mauzo ya simu janja nchini Uchina katika robo ya nne ya mwaka 2021 yameshuka kwa asilimia 11 lakini hilo halijafanya Honor kushindwa kushika nafasi ya pili tangu itoke chini ya mwamvuli wa Huawei.
Twitter ina watumiaji wengi tuu ambao kwao ni mtandao wa kijamii muhimu sana kuzidi mingine. Umaarufu wake si mkubwa lakini umetokea kuwavutia watu mbalimbali ulimwenguni kote.
WhatsApp ni moja ya programu tumishi ambayo imekuwa ikifanyiwa maboresho mara nyingi tuu ndani ya kipindi kifupi na hii inatokana na ile shughuli ya kufanya watumiaji wake wanaifurahi zaidi lakini tukumbuke mambo yote huanzia kwenye Beta kabla ya kusogezwa kwa wengine.
Katika moja ya programu tumishi ambazo watu wanatumia kwa wingi duniani kote ni YouTube ambayo utakubaliana na mimi inaweza kusababisha mtu kupata uraibu wa kuitembelea mara nyingi tuu kila siku.
Google Drive ni kiungo muhimu ambacho kinawezesha kuhifadhi vitu vyetu (vikiwemo vile kutoka kwenye WhatsApp) mbalimbali kwa njia ya mtandao na kuweza kuvikia muda wowote na mahali popote pale.
Kufuatia kutolewa kwa Unicode 14, Apple hatimaye inaanza kuongeza emoji mpya kwenye iOS pamoja na toleo la beta la 15.4. Baadhi ya emoji mpya zinazopatikana ni “mikono ya moyo,” “troll,” “midomo inayoumana” na “uso unaoyeyuka.” Emoji ya mwisho inaweza kuwa chaguo maarufu kwa nyakati zetu za taabu, ukitabasamu huku uso wako ukiyeyuka huku janga na…
Katika siku za karibuni WhatsApp imekuwa ikifanyiwa maboresho mbalimbali kitu ambacho inaifanya kuzidi kuvutia halikadhalika kurahisisha utumiaji wake kwenye simu janja na kompyuta.
Magemu ya kwenye Android polepole yaanza kufanyiwa majaribio hivyo kufanya wale ambao wanapenda aina hiyo ya burudani kuweza kuipata kwenye kompyuta zao zinazotumia Windows.
Mara kwa mara WhatsApp imekuwa ikifanyiwa maboresho ambayo yanatokea kuvutia watumiaji wake kutokana na ukuaji wa teknolojia. Kwa baadhi ya watumiaji wa simu janja wanaweza kuhamisha vitu vyao kwenye WhatsApp kutoka kwenye iOS kwenda Android.
Unaifahamu App ya Tiketi Mtandao? Kama hauifahamu ondoa shaka maana Teknokona leo tumekuandalia maelezo yote ya muhimu kuhusu App hii. Tiketi Mtandao ni App ya kwenye simu janja inayotumika kukatia tiketi za mabasi ya masafa marefu, yaani mabasi ya kwenda mikoani. Kwa kutumia app hii utaweza kukata tiketi ya basi lolote kwenda mkoa wowote nchini…
Programu ya Gmail kwenye Android imekuwa programu ya nne pekee kupakuliwa mara bilioni 10. Programu zingine tatu za kufikia kiwango cha juu cha kupakuliwa cha zaidi ya bilioni 10 kutoka Google Play ni Huduma za Google Play, YouTube na Ramani za Google. Huduma ya barua pepe kutoka Google imekuwa maarufu sana tangu kuzinduliwa kwake Aprili…
Unazifahamu prosesa za simu janja zenye nguvu kuliko zote? Teknokona leo tumekuandalia orodha ya prosesa 5 zenye nguvu kuliko zote pamoja na simu janja zinazotumia prosesa hizo. Kuna makampuni mengi duniani yanayotengeneza prosesa hizi ikiwemo kampuni ya Apple na Samsung.
Google inataka kufanya kwa watumiaji wa Android na Chrome kile Apple huwafanyia watu katika mfumo wake. Inajihusisha kupanua uwezo wake uliopo wa Fast Pair na Chromecast kwa bidhaa zaidi, na pia kuboresha ushiriki wa data kati ya simu za Android na kompyuta mpakato. Kwa kweli, Google ilisema kwamba “kwa mara ya kwanza na Android, tunalenga…
OnePlus ina bidhaa mpya kwa mtu yeyote ambaye tayari anatafuta kuboresha simu janja yake. Kampuni hii inasitasita kufichua kila kitu kabisa lakini haijakanusha uvujaji na uvumi wa skrini ya inchi 6.7 yenye viwango vya juu vya kuburudisha, na kichakataji cha hivi punde zaidi cha Snapdragon 8 Gen 1.
Baada ya Google, Samsung ilikuwa OEM ya kwanza kutoa sasisho la hivi punde zaidi la Android 12 kwa wateja, na takriban mwezi mmoja baada ya kuanzishwa kwa mara ya kwanza, Samsung inaendelea kuwaongoza wapinzani wake, wengi wao wakitoka China. Mpaka sasa Samsung ndio watengenezaji pekee wa simu janja za Android waliofanya Android 12 ipatikane ili…