fbpx
Android, apps, Intaneti, iOS, Teknolojia, whatsapp

WhatsApp kuja na muonekano wa giza

whatsapp-kuja-na-muonekano-wa-giza

Notice: Trying to access array offset on value of type null in /home/teknoloj/public_html/wp-content/plugins/intelly-related-posts/includes/core.php on line 163
Sambaza

Bado hakuna taarifa rasmi ya kutoka toleo la karibuni lakini inaonekana kwamba WhatsApp inatarajia kuanzisha muonekano wa giza (Dark Theme) katika programu yake hiyo pendwa.

Kwa mujibu wa tovuti ya WABetaInfo wamebainisha hilo kwamba lipo njiani kuanza kupatikana kwa watumiaji wa WhatsApp. Kuja kwa kitu hicho itakuwa ni habari njema kwa watumiaji wa WhatsApp iliyo rasmi ambapo watakuwa na uhuru wa kubadilisha muonekano wa WhatsApp kwa namna watakavyovutiwa.

INAYOHUSIANA  Watumiaji wa App Store Watumia zaidi ya Tsh Trilioni 2 (Bilioni $1.1) Kipindi cha Sikukuu
muonekano wa giza
Kwa wale wanaotumia WhatsApp Beta tayari wameanza kupokea maboresho ya muonekano huo.

Kama utakuwa hujapata maboresho mapya endelea kuvuta subira mabadiliko hayo yatakufia. WhatsApp imeendelea kuwa programu ya mawasiliano inayopendwa zaidi duniani kuliko nyingine yoyote.

Facebook Comments

Sambaza
0 Comments
Share

Siyan

Ni mpenzi na mfuatiliaji wa mambo ya Sayansi na Teknolojia.