fbpx

Unatumia Modem Gani?

Google+ Pinterest LinkedIn Tumblr +
Sambaza

Nina mpango wa kuandika makala fupi kuhusu ni mtandao gani uchague unapotaka kununua ‘modem’ kulingana na matumizi yako, ila kabla sijafanya hivyo ningependa kupata picha nzima kutoka kwenu wasomaji wetu,

Je wewe unatumia modem ya kampuni gani? Na kama ushawahi kutumia kampuni nyingine kwa nini umeachana nayo?

Facebook Comments

Sambaza
INAYOHUSIANA  Mwanzilishi wa TeknoKona Aingia Kwenye Kinyan'ganyiro cha Tuzo Tanzania
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. | mhariri@teknokona.com |

Leave A Reply