Makumpuni ya simu nchini Nigeria yaonjwa faini ya aina yake. Makampuni hayo yametozwa kiasi cha billioni 1.17 Naira ambazo ni takribani shillingi bilioni 11.6 za kitanzania, kutokana na kudaiwa kutoa huduma zilizochini ya viwango.
.jpg)
Kuonesha ukali makampuni yanatakiwa kulipa faini hizi kabla ya mwezi wa tano tarehe 21, na baada ya hapo takribani milioni 24.9 za Kitanzania kila siku inayozidi.
Wanadaiwa kutoa huduma chini ya viwango vilivyowekwa na bodi ya mawasiliano nchi hiyo, je huku ni vipi? Unadhani panga hili serikali yetu ingepitisha ni makampuni gani yangesalimika?
Chanzo cha Habari;
No Comment! Be the first one.