fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania
Apple Microsoft

Microsoft Kuipita Apple Na Kuwa Kampuni Yenye Thamani Zaidi!

Microsoft Kuipita Apple Na Kuwa Kampuni Yenye Thamani Zaidi!
Spread the love

Katika makampuni ya kiteknolojia, Apple ilikua imewaacha wenzake mbali sana katika thamani ya soko. Ni wazi wakati wengine wanajikongoja Microsoft ilionekana kufukuzia.

Nilishaandika makala kadhaa kuhusiana na thamani za makampuni haya ya kiteknolojia unaweza kusoma zaidi >> Hapa <<  >> Facebook << >>Microsoft <<

Microsoft

Microsoft

Lakini pia inavyosemekana ni kutokana na uhafifu wa mauzo katika bidhaa za Apple, ni wazi kwamba tangia iPhone 13 itoke haikupata wateja wengi pengine kama Apple ilivyokua inatarajia

SOMA PIA  Apple wamefunga maduka yake mengi nchini Marekani baada ya wizi mkubwa kufanyika

Ukaichana na hayo kwa upande wa Microsoft, ni kwamba imejipatia mauzo mengi katika bidhaa zake za windows, ujazo uhifadhi wa mtandaoni n.k.

Moja ya maonyesho ya Apple

Unaweza kuona thamani ya makampuni yote ya kiteknolojia  >> Hapa <<

Maono yangu ni kwamba kwa sasa Microsoft itatamba kwa kukaa hapo kileleni lakini  haitakaa sana, naamini Apple watarudi katika nafasi yake kwani hawajapishana sana

SOMA PIA  Sasisho jipya la Februari Windows 10 lasababisha matatizo

Ningependa Kusikia Kutoka Kwako, Hii Umeipokeaje? Niandikie Hapo Chini Katika Eneo La Comment.

Kumbuka Kutembelea Mtandao Wako Wa TeknoKona Kila Siku Kwani Daima Tupo Nawe Katika Teknolojia!

Nifuate Kwenye Mitandao Yangu Ya Kijamii

  Instagram | Facebook | Twitter | LinkedIn

Hashiman (@hashdough) Nuh

Mhariri Wa TeknoKona Na Mmoja Kati Ya Wafuasi Wa Teknolojia! Naomba Tuikuze TeknoKona Wote Basi.
Ningependa Kusikia Kutoka Kwako Nitumie Barua Pepe hash@teknokona.com

Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

TeknoKona Teknolojia Tanzania