Nini hasa ambacho kinafanya 3D Touch kufikia mwisho?
Moja ya watu kutoka kitengo cha uhandisi chini ya Apple anakiri kuweka teknolojia hiyo kwenye kioo sio kitu kirahisi na kinahitaji ustadi na gharama kubwa halafu kisitumike.
Sababu nyingine ni ufahamu. Ipo wazi kabisa kuna watu wana iPhone zenye teknolojia ya 3D touch lakini hawafahamu kama simu hizo zina kitu/kipengele hicho.
Muundo wa 3D touch kwenye iPhone 6s na iPhone 6s Plus.
Hakuna mtu anayependa kuleta kitu halafu kisipendwe au kutouzika na kama ikiwa ni kweli basi teknolojia hiyo itakuwa imefikia mwisho na kwa wewe ambae ulikuwa haufahamu kuwa iPhone 6s/6s+ ina hicho kitu leo umejua.
Timu ya uandishi wa Kona ya Teknolojia ingefurahi kupata sapoti yako ili iendelee kukuletea habari na maujanja mbalimbali.
Wezesha bando kwa kutuma kiasi chochote kupitia Selcom, kwenye simu yako bofya *150*50*1# kwenye namba ya malipo weka 60751369 jina litakuja TEKNOKONA.
Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia.
Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|