fbpx
TeknoKona Teknolojia Tanzania

Tag: Alphabet

Google Kurudisha Huduma Zake Uchina
IntanetiTeknolojia

Google Kurudisha Huduma Zake Uchina

Eric Schmidt, mwenyekiti wa Google ametamka kwamba kampuni yake itarejea Uchina siku za karibuni. Kampuni ya Google ilijitoa nchini China mnamo mwaka 2010 baada ya kampuni hiyo kutokubaliana na sera za kuficha/kutoruhusu baadhi ya tovuti na huduma kuoneshwa nchini China (“censoring”), huku walilalamika kwamba serikali ya nchi hiyo ilikuwa inahusika katika udukuzi uliolengwa kwao na…

Kampuni ya Google Yafanya Mabadiliko ya Logo
Teknolojia

Kampuni ya Google Yafanya Mabadiliko ya Logo

Baada ya mabadiliko makubwa kufanyika kwa kampuni ya Google, hii ikiwa ni pamoja na uanzishwaji wa kampuni mama itambulikayo kwa jina la ALPHABET Google waamua kufanya mabadiliko katika logo yao. Logo mpya yenye muonekano nyororo zaidi wamedai ni nzuri na bora zaidi ata kwenye vifaa kama vile simu, ‘eti’ inafunguka haraka zaidi bila kutumia data…

TeknoKona Teknolojia Tanzania